Habar za kazi Mjomba Ankal!
Napenda kuwaletea habari nzuri wajasilia mali wadogowadogo kuwa wamepata fursa ya kujitangaza kwa urahisi kwa shuguli zao wanazofanya kupitia www.bongobiz.com
bureee kabisa just kwa kuchukua mda mfupi kujisajiri.
Mtizamo wetu ni kumsaidia Mtanzania Mwenye hali chini kutangaza bidhaa yake ya aina yoyote ya ukubwa wowote pahala popote kwa njia rahisi kabisa.
ndani BongoBiz yote yanawezekana
Kassim Kingalu
Turkey-izmir
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...