Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ImpokocholeJuly 10, 2012

    Well done wazee wa Kizigo. Mnakaribishwa sana.

    Lakini, jibu la kizushi baadaye kuwa 'walikosa visa' ndio maana hawakufika Copenhagen au Oslo n.k hayakubaliki wala kuvumiliwa katika karne hii. Matangazo kama haya katika libeneke hili yawe ya ukweli na uhalisia ndani ya majiji yote yaliyoandikwa na katika hizo siku zilizoonyeshwa.

    Vinginevyo Bendi zitaanza kufilisiwa kwa madai ya matangazo yanayosababisha usumbufu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2012

    Choki na Extra Bongo wanatisha mzee,,tunawasubiri kwa hamu hapa Stockholm watushushie kizigo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2012

    Anony hapo juu umesema kweli kuhusu maswala ya VISA. Ni vibaya kuanza kutoa matangazo ya safari kama hiyo wakati kama watu hawajawa na VISA mkononi. Imeshatokea mara nyingi matangazon kibao, mwisho wa siku watu hawakupata VISA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 11, 2012

    Huu ndo muziki wa kibongo tunaotaka siyo hizi kelele za play back na kujifanya sijuwi black americans. Stick to original. Leteni mambo wazee twawasubiri kinoma na hela za kuwatunza tutawapa zipo teleeeee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...