Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2012

    Awesome,absolutely awesome.
    Dr Gangwe Bitozi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2012

    Sujit, what about you, have you quitted, if you have then I will visit your office and see.


    Your Mom from UDSM

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2012

    Kwakwelisigara haifai kwa wavutaji na walio karibu na wavutaji. Kwa sasa bongo naona ndo vijana wakuja kwa kasi ya moto wa kifuu, fasheni zitawaua bure.

    Nakumbuka zamani kulikuwa na aina kama tatu au nne hivi nilizozijua: sm, sport, embasy na nyota nilizijuilia dukani kwa baba.

    Saizi kuna mitungi na kinachovutwa mle ndo sikijui, na matangazo kibao yakuhamasisha uvutaji sigara ndo yapo juu wakati wanaowaiga watu wa western ndo wapo kwenye mikakati yakuacha.

    Haya twende na wakati na wakati utaenda na sisi.

    ReplyDelete
  4. Nashangaa serikali haitaki kupiga marufuku kuvuta sigara hadharani ili kuokoa maisha ya wengine!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...