LUGA IKO GONGANA DANI YA PANGANI, TANGA, BANA.... 
HII NALETA KIPEPE TOURS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2012

    Ankal asante kwapicha hii una tukumbusha mbali sisi tulio ughaibuni, Pangani kwa mamwinyi huko.
    Mashuwa hiyo ni yakubebea nazi unaona hilo tambaara jeusi lililo panda juu hapo lililoandikwa lugha gongana hilo nikwaajili ya kuzuiya nazi zisianguke.

    ReplyDelete
  2. anaimanisha = sailing vessel internet. mambo ya kizazi kipya na huenda wakati yuko safarini yuko pia connected na wireless inernet,nikisema bongo ni peponi, watu o !! sisi haturudi. Haya kaeni Ufaransa sasa,njaa kali au hukooo M.united. Zebedayo msema kweli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Zebedayo njaa yako sema nayo na sio kukurupuka tu na kuanza kuwakashifu watu wa ughabuni ww kama umeamua kukomenti basi kuwa mwangalifu unapo coment na sio kuingilia watu wa ughaibuni

      Delete
  3. wewe Zebedayo kila nikisoma comment zako wewe kazi yako inakuwa kuwarumba na kuwabana na kuwalalamikia watu wanaoishi ughaibuni hadi sometimes unaharibu points zako nzuri zinaonekana kama una chuki kubwa na watanzania wanaoishi ughaibuni.Sijui kama uliwahi kuishi huku ughaibuni na ukapigwa patrieshen ukarudi bongo miguu juu na una chuki ambazo unazimalizia kwetu tuliopo ughaibuni.SISI TUMEKUKOSEA NINI? KAMA HUNA KITU HUKO BONGO KOSA SI LETU. SIYO SISI TULIYOKURUDISHA BONGO
    Watu watakuchoka na kutokukuelewa kwa comment zako za kiajabu,Haya kwa mfano wapi na wapi unaposema "HAYA KAENI UFARANSA SASA" WE KNOW MORE THAN YOU KWAMBA EAST WEST HOME IS BEST lakini huwezi kuilnganisha Paris na (.....)

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo zedebayo aseme na njaa zake lakini sio aanza kukashifu watu

      Delete
  4. kweli kabisa mkuu watu tunaenda na wakati S.V=Sailing Vessel

    ReplyDelete
  5. Sio swala la lugha kugongana, manake hata angeweza ku spell "MV Internet" bado ingekuwa kituko, mtumbwi utaitaje MV Internet?

    Kiwango cha uelewa wa mambo, elimu na upeo wa mtu wa dunia ya tatu kama Tanzania ni mdogo mno.

    ReplyDelete
  6. mnapenda kuropoka ovyo. kila mtu anaamua jina la chombo chake, hata jina la mtoto wako unaliamua wewe. kuna wanaoitwa jackline au jacquelyn au Jacqueline. spelling mtu anaamua anatakaje, kuna kina Dorine, na kina Doreen, na kina Dorline. kuna Justin na Justine: inategemea ameamuaje japo dini inachangia but majina yanaboreshwa watu wanavyotaka. kwani kina Moshy na Moshi wametoka wapi? kwani kina Limo na kina Lyimo si kitu kile kile? muacheni mwinyi huyu afanye anavyotaka kwa chombo chake

    ReplyDelete
  7. wewe unayokashfu wenzako kuwa hawajui kuandika,Je wewe mwenyewe umejiona?badala kuandika Lugha eti unaandika Luga hiyo Luga umeitoa wapi au ndiyo kikwenu?

    ReplyDelete
  8. kama kawaida yake Zebedayo Said mbeba box nambari wanii....


    nimimi tu.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...