Ankal akiperuzi gazeti la Stesheni ya Reading, Uingereza, ambayo inatoa machapisho kuelimisha jamii kuhusu yanayoendelea katika kituo hicho. Aghalabu utakuta magazeti aina hii na ya habari za kawaida katika stesheni za treni, ambapo wachapaji hutegemea matangazo ya biashara kujiendesha. Tunasubiri mageuzi kama haya kwa hamu hapa nyumbani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2012

    Angalau wenzetu hata kama unashidwa kununuwa kila siku, at least 'METRO' pia lipo (London), asubuhi na mapema Mon-Friday. kuanzia kwenye stations za train mpaka kwenye baadhi ya mabasi, na la jioni kadhalika. Inapendeza sana, nadhani ni utaratibu mzuri waliojiwekea wenzetu. Tufanyefanye na sie angalau la kurasa mbili tu, angalau pia na wenye hali duni nao kuweza kulimiliki bila hata senti tano na kunufaika na khabari muhimu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2012

    Hakuna bure huko UK, umeshalipia kwenye hiyo tiketi yako.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2012

    Ankal, Samahani kidogo,tunauliza kuhusu Fulanazzzz! ipo nayo mkobani au? maana hapa umetoka chicha sana,sasa fulanazzzzzzzzzz ! ya blogu ya jamii iko wapi? maana juz tulikuoana na wakuu wenzio wakikodolea macho fulanazzzzzzzzzzz! pasiwe pamefanyika mbinu!
    wadau
    FFU

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2012

    Tatizo kwetu yakiwekwa hapo mtu wa kwanza tu atachota yote akafungie na maandazi au la akayauze kwa kina mwananchi.Ustaarabu huo bado mpaka tujipe karne nyingine moja mbele.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2012

    Michuzi we kwa mtazamo wako tutafika lini huko wakati kila kukicha magazetini oooh Wema sijui kamfanya nini Wolper yaani ni ujingaujinga tu. Hivi hao waandishi wa kitanzania wameshindwa kuwa wabunifu wa habari za maendeleo za kumkwamua Mtanzania wakawaida. Sasa wewe si umelipata hilo station basi kuna yanayoletwa mpaka nyumbani na ni bureee!

    ReplyDelete
  6. MDAU ULIYESEMA HAKUNA CHA BURE KALIPIA KWENYE TIKETI YAKE JE UNAJUWA KAMA MAGAZETI YA METRO YA BURE YANAKUWA NJE YA KITUO UNAWEZA KUBEBA NA KUSOMA NA KAMA NI KULIPA TIKETI NDIO INAFIDIA BASI WARUDISHE TANZANIA SERIKALI YETU MA UDA NA TRAIN WAWEKE GAZETI LA BURE KWA FIDIA ZA TIKETI, ILA METRO NI BURE KODI YA WANANCHI INAFANYA KAZI.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 14, 2012

    Jamani tulieni kidogo niwapashe yaliyo mhimu, msione cha elea . Kuna madhara yake pia kwenye hayo magazeti munayoshabikia ,hata kama utalipia au utapewa bure lengo lao hao watu ni kuku koroga akili kila kukicha na matangazo ya biashara hii au ile ,hiki au kile -lengo ni usipate nafasi ya hata kupumua ukafikiri jambo jingine nje ya kurubuniwa, ukifungua TV cha kwanza ni nunua hiki au kile, vidonge hivi ni vizuri zaidi ya vile nakadhalika-hii ni highway of information ambayo hailali hata dakika moja,hivyo wananchi wako kwenye pressure all the time. Ndugu zangu, haya siyo maendeleo ya kujivunia, maandiko yanasema kwamba ,siku za mwisho watu watapenda pesa. Jamani, let us take a break from these bomberdments of informations. Huku kwetu ni peponi,tuna muda wa kwenda rusha roho, sasa anayeshuri eti na sisi tuingie kwenye ujinga huu wa kila dakika na gazeti, je ?? tutacheka saa ngapi ???? Zebedayo ,msema kweli.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 14, 2012

    Mjomba Magazeti haya ya dezo ndiyo yanayowaponza ndugu zetu Wapiga Box kwa kuwa habari za Magazeti haya ni za upande mmoja tu 'Local English news' taarifa za kuhusu masuala ya UK tu.

    Mfano:
    -Nafasi za vibarua ktk UK
    -Matangazo ya nyumba na makazi UK
    -Minada ya vitu used UK
    -Huduma za Jamii dishi la bure UK
    -Vituo vya Misaada ya Jamii UK

    N.k,

    Kwa taarifa kama hizo ndugu zetu wanakuwa mabwege wanaridhika na kubweteka UK kwa vyanzo vya Dezo Dezo kama matangazo yalivyo.

    Hayana World news za kutosha hivyo wanandugu wakiwa wanayasoma huko wanadumaa kimtazamo,wanajisahau na kutokujua yanayojiri Duniani!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 14, 2012

    Mdau wajul14,09:16am nakuuliza gazeti la ijumaa risasi na mengineyo ya udaku yana World News za kutosha? Halafu unasahau huku news wanapata mapema kwani hata kichaa ana PC nyumbani kwake na Broadband ni cheap au bure kabisa mama wa nyumbani yule asiyeenda kazini baada ya shughuli za ndani atakuwa akiangalia World news au ana soma novel hana muda wa umbeya na kusutana na kutaka kujua habari za mtu

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 14, 2012

    Usinichekeshe mie very few wazungu wana PC au wanajua kutumia, katika watu wajinga kwenye ustaarabu hakuna kama hawa watu. Wananunua tu kama pambo. Kina kinachotoka wananunua just to be in the fashion. World news gani anazoruhusiwa kuona mzungu, watoto wanaokufa Ethiopia na kwengine africa. Give me a break, they the most stupidiest and the most ignorant people in the world hata waliosoma na ni maprofesa, They have been brainscrubbed to nothing but shit. Hizi news katika hayo magazeti ya bure are nothing. Kwanza kianzio cha habari watapata wapi, neno kwa neno linauzwa na kina Murdoch. Acheni ujinga watanania, taarifa ya TBC inatosha ingawa na wao wanunua habari za nje za uongo na wanacopy and paste.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 14, 2012

    Michuzi ulifanikiwa kwenda kwa Kalinga pale Vicent club kula ugali? Siku hizi anajua kusonga ugali vizuri hatoi ugali wenye mabujamabuja.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 14, 2012

    MDAU BORA HAO WABEBA BOX KULIKO WEWE KUKAA BILA KAZI KAZI KUSUTA WENZAKO KAMA DEMU, ANGALAU WENZETU WANATANGAZIA HAYO MATANGAZO KWA MANUFAA BADALA KUSITIZA KAMA MICHUZI TAIFA LETU LIIGE VYA MAANA WEWE UMEKAA NA ROHO YAKO YA KOROSHO, MIE WABONGO WENZANGU KAMA MMEPATA HIZO NAFASI ZA BOX PIGENI NDOMANA NAWAPENDA BONGO WAFAGIAJI BARABArANI,WABEBA ZEGE,WAPIGA DEBE YOTE KAZI SIO MTU NET YA MAMA NA BABA AU NDUGU ANAKUJA NA ROHO YAKE YA KOROSHO OH MUUZA NYANYA OH MPIGA DEBE, HUKU KAZI YEYE HANA KIJIWE NA KUPIGA MIZINGA KWENDA CLUB NA KUSEMA NAKULA BATA, ZARAU HIZI NDIO WANA-SERIKALI NAO WANAWAZARAU WAFANYAKAZI WADOGO NA MAENDELEO YANAKUFA NCHINI TANZANIA WATU WAKUSIKITIKIWA SIWABEBA ZEGE AU WAPIGA BOX WAKUSIKITIKIWA NI WAUZA UNGA NA MAFISADI NDIO WAHARIBIFU WA YOTE NA AMBAO HAWATAKI KAZI, WAO KIJIWE NA MAJUNGU. DAKTARI JJ

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 14, 2012

    mh yakianzishwa hapa kina mama lishe watayakomba yote! free packaging iyo ya vitumbua na maandazi.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 14, 2012

    Kwani huku bongo hamna magazeti ya bure? mbona mi napataga tena magazine safi kabisa na ni za bure.
    kuna Advertising Dar, weekly.
    The Darproperty, Monthly. yapo kila kona sema wabongo tunajizarau tu.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 14, 2012

    Uhuru wa kujieleza... Tehe tehe tehe... Ahksante JK, Tanzania yenye uhuru wa habari imewezekana!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 14, 2012

    We ulieandika habari za Wema kwani unadhani hukko nje hawana magazeti ya udaku? Pole

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...