Home
Unlabelled
Ujenzi wa BARABARA YA TUNDUMA MPAKA SUMBAWANGA waendelea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
anapotoka mkuu kwa nchi zetu lazima malengo yote yaelekezwe huko
ReplyDeleteHuyo mwenye nyumba hiyo karibu na barabara aondoe mara moja,hiyo ni resrve ya barabara.
ReplyDeletewe anoy Sat Jul 14, 02:06:00 AM 2012 hapo ni sumbawanga hiyo ni nyumba ya mukulu wa inchinto hatoki hivi hivi atakae mgusa atajuta na ukoo wake
ReplyDeleteHalafu serikali hii haijafanya chochote kwa miaka 50 iliyokuwa madarakani. Hakuna hata mwanahabari alietoa makala makala ya maendeleo hata ya kijijini kwake mahala ambapo alikwenda kwa miguu, kama hivi sasa bado anakwenda kwa miguu. Ambapo hakujaendelea ni pwani tu na of course history tells itself ni kwa makusudi tu.
ReplyDeleteBig up Kwa serikali Ni road muhimu...Kantalamba kufika itakuwa kiulaiiiini!!!!
ReplyDeletetunashukuru sana, sa ivi sumbawanga itakuwa rahisi saaana kufika, mbarikiwe
ReplyDeleteHapo kwenye hiyo nyumba ni Kalambazite na mwenye hiyo nyumba anaitwa Kalolo mbalamwezi wankumba hata yule jamaa mkali kamshindwa
ReplyDelete