Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Ujumbe wa Wataalamu wa Tasnia ya Mabunifu ya Bidhaa za Viungo kutoka Kampuni ya Light Years IP ya Marekani panoja na watendaji wa Wizara ya Biashara.Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Zanzibar Mh. Nassor Ahmed Mazrui.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2012

    Sehemu walipokaa ni pazuri sana ila hayo maua ya plastik vipi? Tuna maua mazurii yenye uhai kama hayo. Tudumishe uoto wa asili hata kwenye ofisi zetu za kutukuka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...