Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mh. Jerry William Silaa (katikati) akiwa katika mazungumzo na Bwana James W. Parkinson kutoka Marekani wakati wa mazungumzo yao awali ya mpango wa Meya wa kuongeza uwezo kwa wanafunzi wa shule za serikali kuzungumza kiingereza. Mazungumzo hayo yamefanyika katika office ya Meya ILala,Jijini Dar.
Home
Unlabelled
MEYA WA ILALA KUKUZA KIINGEREZA KATIKA SHULE ZA SERIKARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
tizama body language hapo na uniambiye mwenyewe kinachoendelea hamuachi bwana kuwadanganywa watu, watu wameshaamka hivi sasa bwana eeeh
ReplyDeletejuzi juzi ulituonesha picha ya huyu mhishimiwa akiwa ikulu kuongea na JK. ktk picha hiyo alikuwa kakumbatia kabrasha, nadhani alikwenda kujieleza juu ya nini atakisema atakapokutana na hawa ndugu
ReplyDeleteBy the way ni serikari au serikali naomba kueleweshwa
ReplyDeleteKiingereza ni muhimu shule za serikali lakini mna waalimu wa kutosha wa hicho kiingereza? Waombeni wingereza wawape waalimu wa kujitolea kama mna nia ya kweli.
ReplyDeleteMdau wa 10:34:00 PM .. Ni Serikali
ReplyDeleteBody language ya mzungu inasema "kamwe hunidanganyi na pye pye pye zako".
ReplyDeleteTofauti za kitamaduni bwana, Mzungu ana wasiwasi na hicho kidole cha Meya, anafikiri kitaingizwa kwenye tumbo lake tizama alivyosimama! LOl
ReplyDelete