Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake, Asha-Rose Migiro, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 24, 2012 kwa ajili ya kushukuru baada ya kumaliza muda wake wa kazi katika Shirika hilo la Kimataifa UN. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Home
Unlabelled
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA ALIYEMALIZA MUDA WAKE,DKT. ASHA-ROSE MIGILO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
nani anafaa kuwa next Presidaaa, mzee wa Nuclear Physics and Dr wa Sheria mwenye Uzoefu wa UN??
ReplyDelete