Home
Unlabelled
mbu wa ajabu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Zebedayo says. huyu inawezekana ni mbu mwitu, ni mkubwa zaidi ya mbu wa kawaida,mbu wa kubwa kama hawa san sana hupatikana Canada wakati wa kiangazi (summer time) hao wa Canada hawana madhara ila wanauma tu tena sana.Huyo wa kwetu siju,ila tahadhari mdau na alivyomkubwa ,uwezekano upo akabeba hata ukimwi. Ushauri, wewe muweke kwenye kajichupa hivi, toboa juu kitundu cha hewa ,mpeleke Muhimbili-research center, labda tunaweza kupata jibu sahihi,kama labda hiki ni kizazi kipya cha mbu au huyo katumwa ?? Zebedayo msema kweli.
ReplyDeleteNi kweli huyo mbu pia anapatikana majira ya joto katika nchi za scandinavia, huwa hata wakikuuma hawana madhara yoyote.
ReplyDeleteAnaitwa Crane fly ,family Tipulidae ,ni harmless na hasababishi magonjwa coz it doesnt bite humans
ReplyDeletePa1 mdau
Must be dragon mosquito. Aitwe Zebediatosis hahahahahaha tehtehteh
ReplyDeleteHuyo katumwa, nakushauri ndugu yangu eidha uende kwa Kakobe au Mwingira akakusafishe. Alternative mjulishe Pro Manyaunyau aje afanye vitu vyake hapo kwako.
ReplyDeleteJanuary.
Nyie mnaosema akikuuma hana madhara napingana nanyi, hasa kwa upande wa Canada. Mbu hawa kwa Canada huwang'ata ndege, na kuna ndege aina fulani (simkumbuki jina) ambaye hubeba virus wanaomdhuru binadamu na wanyama. Sasa endapo mbu aliyemtafuna huyo ndege akikubebena mwanawane ni hoi. Inasemekana kuna watu wameshapoteza maisha kwa kutowahi matibabu wakiamini kuwa hawa mbu ni salama.
ReplyDeleteKwa wanaotaka kujifunza zaidi fungua hii URL:
http://bodyandhealth.canada.com/channel_condition_info_details.asp?disease_id=288&channel_id=1020&relation_id=70907
Mbu hawezi kubeba virus wa ukimwi kutokana na maumbile yake, hivyo sio kweli kusema kuwa anaweza kuambukiza ukimwi.
ReplyDeleteWote mmechemsha huyu ni JINI na ametumwa kummaliza huyu jamaa! kwa macho yenu mnamuona ni MBU kumbe ni jini!
ReplyDeleteNakushauri wahi haraka kwa FUNDI aje asafishe nyumba yako.
Ankali,
ReplyDeleteSomo lako la kupiga picha limefanikiwa sana!
Nimestaajabu kuona jinsi jamaa alivyompata mbu na kumfotoa!
Kabla ya yote umejuaje kwamba ni mbu? Anaweza akawa ni mdudu tu anafanana na mbu!
ReplyDeleteMdau huyu sio mbu,hili ni jini aina ya msukule,haraka sana nenda kwa mtaalam.
ReplyDeleteMdau kaa mkao wa kula, huyo sio mbu na hata hao wanaosema mbu wa Canada wanakupotosha, hicho ni chombo kutoka Zanzibar kinapatikana micheweni, Dole, Sebuleni, Mchambawima hata Mwanakwerekwe a.k.a yake anaitwa POPO BAWA!! So be ready for a party tonight!!
ReplyDeleteHivi wewe Mgori mi nakushangaa, unasema mbu wa ajabu.....ni wa ajabu kwako kwasababu wewe ni wakishua. Huku kwetu kunamijimbu noma zaidi ya hako kakwako ulokatuma, unaambiwa mbu wanaushirikiano wameshiba utadhana wanapiga chuma: ukopishana nae unahisi umegongana na kitu, wanauwezo hawa wakuinua jeans wakanyonya mguu, hata ukivaa helment ya pikipiki wanashirikiana kuipiga chini wakupe cha kichwa. Lol!!
ReplyDeletekweli bado bado mambumbumbu wa fikira kwa kuendekeza ushirikina, bado tuna safari ndefu.
ReplyDeleteAcha nicheke tu kuna watu humu wamepinda kweli!
ReplyDeleteKamwone Manyaunyau, na hao wanaopuuza kuwa hakuna majamboozi basi hawaamini biblia au Korani kwani dini zote zimesema kuna ushirikina. Kaa chonjo babake huyo sio mbu wa kawaida. Huku Unguja twawaita popo bawa ati.
ReplyDeleteNahodha.