Mdau Ahmed Ramadhan Dau  akiwa ni mwenye furaha baada ya kulamba Nondozz yake ya Bachelor of Engineering (Aerospace Engineering) katika Chuo kikuu cha Keene University of Sheffield United Kingdom Leo.
Dr Dau akiwa na mwanae Ahmed aliyekula nondozzzz na nduguze pamoja na Haruna Mbeyu 'Meya wa London'
 Wakati wa kula nondozzz
Mdau Ahmed akifurahia na familia yake
Wadau Ahmed Dau (kushoto) na rafikiye Haruna Mbeyu  'Meya wa London' wakiwa kwenye bustani ya Garden ya Chuo hico mara baada ya kulamba nondozz zao.
Mtoto wa simba ni simba: Dk. Ramadhan Dau akiwa na Mwanae Ahmed Dau baada ya kulamba Nondozz yake leo huko nchini Uingereza.
Mdau Ahmed Dau akipongezwa na wadau kwa kula nondozzz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2012

    Congratulation MEYA wa Sheffield!!

    ReplyDelete
  2. safi sana kijana na hongera sana,uje sasa utumikie nchi yako na sio utumikie tu bali utumishi wenye weledi kama wa baba yako.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2012

    Jamaa wa kwanza kulia kakaa kiupambe upambe

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2012

    hongera doctor Dau kwa kumpatia msingi mzuri wa elimu kijana Ahmad, ng'oa mti panda mti.

    Mdau Coventry UK

    ReplyDelete
  5. Nasikiaga hivi 'vyuo' ni vya 'mifukoni' na vipo majumbani kwa watu! ndio maana wakija hapa wanashindwa kupata kazi kwani hawawezi ku deliver kile ambacho wanadai wamesoma!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2012

    hongera ahmed

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 18, 2012

    Hawa watu wanaosema Vyuo ni vya mfukoni... chuo gani bongo kilichofanya ubunifu na vitu vikatumika dunia nzima... zaidi ya kusoma mavitu kibao amabayo yameandikwa na hao wenye vyuo vya mfukoni... hiviufikiri wetu uko wapi...wachina wamepeleka watu kibao kwenye hivyo vyuo vya mfukoni na kuiba mengi na sasa wanaongoza ubunifu.. sisi tumepata wachache hawa wakija wakatoa maoni yao wanakuwa kikwazo kwa wenye vyeo wanawaogopa na kuwawekea fitina kwamba watachukua vyeo vyao na kuwapa sababu eti "ku deliver" mbona miaka 50 na kitu na hatuoni "ku deliver huko mnakusema" kwakwkawkakwakw mtabaki huko huko... hongera kaka kwa kupata cheti cha mfukuno ikiwezekana omba kazi huko huko usirudi....

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 18, 2012

    sasa imekuwaje tena hakuna KANZU, BARAGASHIA, KOTI na makubazi au huko haiswihi?

    Hongerasana Ahmed...walau sasa WAWTU WETU sasa wanazo hizo degree...kisingizio kuwa hatukusoma hakuna

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 18, 2012

    Hongera Ust. Ahmed Dau na Mstahiki Meya wa Londoni Al Akh Haruna Mbeyu kwa Nondozzz zenu!

    Inshallah Allah SW awafungulie!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 18, 2012

    MashAllah Congratulations Ahmed, tukisomea tanzania wanaiba matokeo yetu yanabadilishwa basi bora kwenda nje ya nchi. Allah atakuongoza InshaAllah

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 18, 2012

    Mkibosho ndugu yangu naomba uingie google kisha uangalie sheffield Uni ni nn? Kisha fanya tafiti pevu kujua ni watanzania wangapi mpaka sasa wanadegree ya Aerospace Engineering! Kisha angalia kwenye Taasisi za kifedha na za misaada duniani zinaongozwa na wenye sifa gani? Kisha tambua tu kuwa Boeing na Airbus wanategemea kila mwaka wataalamu kutoka hapo "chuo cha mfukoni" ndugu yangu acha wivu na uvivu wa kufikiri. Hakuna mkibosho hata mmoja dunia nzima mwenye sifa hizo!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 18, 2012

    Jamani huyu Mkibosho aneyesema Sheffield ni chuo cha mfukoni yeye kasoma kweli? namshauri aende google akaone. Na pia namuuliza watanzania wangapi wana degree ya Aerospace Engineering? Jamani tuacheni wivu wa 'kigala', namshauri akubali matokeo, ikibidi na yeye aende shule maana "tumeshaamka" sasa

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 18, 2012

    http://www.shef.ac.uk/about/rankings

    Wewe unayesema hicho ni chuo cha mfukoni soma rankings hapa juu June unasema nini

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 18, 2012

    Mbona wewe wa Wed Jul 18, 09:33:00 AM 2012 unaumia sana na kanzu nk. hayo yanakuchoma sana na bado kwani nyie simnapeana tu na vyuo vyenu tunawapa kamba mjinyonge ni timing bomb tutawaumbua kwa vimaster vyenu feki ili mkalie ofisi.Yawachoma sana wamfumo hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.

    ReplyDelete
  15. bashir omarJuly 18, 2012

    hongera bwana Ahmed Dau, mengine waachiye waja wa Mungu kila mtu atasema lake hakuna mtu asiyejua kwamba elimu ya vyuo vikuu ilikuwa kwa watu maalum enzi zile za ujima, sasa kila mtu anakwenda mbele baba yako ni msomi wewe ni msomi familia yako wasomi la ajabu lipi?usijibu chochote kibaya unachimbwa na watu ambao hawampendi baba yako. Hongera Kijana umeonekana wa nguvu kabisa hivi vindege vyao njoo uvibomoe uvisasambue wanunue mpya au wazisimamishe.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 18, 2012

    kaka mkibosho do your research first before leaving a comment here! University of Sheffield ni miongoni mwa "Russel group" universities( am a UK university graduate). Hongera kaka Ahmed! piga Masters na Phd kabisa ndo urudi! sky is the limit!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 18, 2012

    Hongera sana Ahmed kwa kupata hiyo Nondo yako mwanangu, Allah akulinde na husda zao ambao tumeambiwa ndani ya Quran kuwa wanazo na mfano ni huyo Mkibosho hapo juu ambae ataishia kufanya biashara za magendo na wizi wa kwenye magodown usiku, huku mchana anajifanya anauza duka! Au ataishia kupewa post kwa vyeti feki pale TRA kwa wajomba zake.

    Salaam nyingi na hongera nyingi sana kutoka kwa Auntie Naima na Uncle Feruz!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 18, 2012

    MMMMH YANGU MACHO JUKWAA LIMEKUWA MIPASHO HILI.NADHANI MKIBOSHO AMESHINDWA TU KUULIZA SWALI LAKE VIZURI KUWA BAADHI YA VYUO NI VYA MFUKONI. NI KWELI VILIKUWEPO ILA KWA SASA VINGI VIMEFUNGWA. ILA HIKI SI UCHWARA KINATAMBULIKA TUVYEMA. CHA MUHIMU NI MTU MWENYEWE KUPROVE ALIYOSOMA KWANI NIMEWAHI KUKUTANA NA MTU WA CHUO MAARUFU SANA LAKINI AKAWA HAWEZI NA WENGINE WAKO VYUO VIDOGO WANAFANYA MAMBO MAKUBWA TU.
    MWISHO WA SIKU TUSIANGALIE UKUBWA WA JINA LA CHUO BALI MHITIMU ANAJUA NINI. COURSE ZOTE DUNIANI NI MUHIMU NA WOTE TUNATEGEMEANA, KAMA MTU KAWA RUBANI BASI AJUE HATA NESI ANAFAA KWA NAFASI YAKE.
    MDAU SWEDEN

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 18, 2012

    kwa wale wanaokichukulia poa sheffield university labda niwape fact moja ukiachana na mambo ya ranking..chuo hiki kimeshatoa washindi watano wa Nobel (tuzo inayoheshimika sana duniani), tuambieni UDSM wametoa wangapi au the whole of Tanzania for that matter.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 18, 2012

    Wadau msiumize vichwa bure. Kila kitu sasa hivi ni transparent. Google university ranks worldwide majibu ya maswali yako utayapata. Chuo bara cha kwanza Africa kinashika nafasi ya 542 katika ubora wa vyuo duniani ambacho ni university of Pretoria. University of Dar Es Salaam ni cha 1500 na kitu nilipoangalia mara mwisho. Hapo ndipo utagundua ni vyuo vipi vinavyopeleka engineers international space station na vile vinavyopeleka enginees kutoboa mv bukoba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...