MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akipokea hundi ya shilingi milioni tano kutoka kwa Meneja uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF), Andrew Kuyeyana ikiwa ni msaada kwa wahanga wa ajali ya Mv.Skagit iliyotokea wiki iliyopita karibu na Kisiwa cha Chumbe
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kulia) akizungumza na Meneja uhusiano wa mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF), Andrew Kuyeyana aliyefika afisini kwa Balozi Seif Vuga mjini Zanzibar kumpa pole kufuatia kuzama kwa meli ya Mv.Skagit iliyotokea wiki iliyopita.(Picha na Haroub Hussein).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...