Habari na poleni kwa kazi kubwa mnayoifanya.

Mimi ni mtanzania naitwa ERIC naishi London kwa sasa naomba msaada mkubwa kuniwekea message ndogo tu kama wengi walivyonishauri.

Nimemtafuta rafiki yangu kwa kupitia njia zote lakini ilishindikana, naomba msaada wenu maana najua hapa ndio kituo cha mwisho.

Rafiki ninayemtafuta anaitwa KALIST MUSINDA na mara ya mwisho aliishi LEEDS UK.
Naomba anipigie simu au yeyote anayejua habari zake anitaarifu kwa simu namba +44 7405616102

Asanteni sana kwa msaada wenu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2012

    lazima utakuwa unamdai

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2012

    ha ha ha wewe mdau wa mwanzo wacha kuniumiza mbavu!!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2012

    Michuzi kweli ni blog ya jamii hata masuala ya wadeni unasaidia maana jamaa kaona bpra akimbilie huku

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2012

    wewe bwana mzee unanitafutia kitu gani?mambo ya Leeds achana nayo mimi nipo poa sanaaa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2012

    Eric wa London,

    KALIST MUSINDA alisharudi Bongo kitambo tu yupo Kaliuwa, Tabora anakata mkaa!

    Huko hata simu hazipatikani hewani hakuna mawasiliano kabisa!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 28, 2012

    Ahhh

    Kalist Musinda alirudi TZ zamani sana tu, yupo Kwimba na Magu Shinganga nachunga ngo'mbe Kijijini kwao!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 28, 2012

    Sasa hivi anaishii manchester, una shilling ngapi nikakuonyeshe alipo?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 28, 2012

    Wadau nyie vipi?kwani kama nilisharudi kijijini au bado nipo UK inawahusu nini?nyie mnadhani kukamatwa na UK Boader force ndiyo mwisho wa maisha?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 30, 2012

    hahahahaha...wabongo bwana tunapenda sana matani...Safi sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...