Mchezaji wa Timu ya Azam,Khamis Mcha (22) akipimana ubavu na Shomari Kapombe wa Simba katika mchezo wa Mashindano ya Cecafa Kagame uliomalizika jioni hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Azam ndio iliyoibuka kidedea kwa kuilambisha Simba Bao 3 -1.
Wachezaji wa Simba,Felix Sunzu (alieshika Mpira) na Haruna Moshi wakijiandaa kuanza mchezo baada ya kufungwa goli la kwanza.mpira umemalizika hivi punde uwanjani hapa na Azam wameweza ibuka washindi na kujikatia tiketi ya kucheza nusu fainali ya kombe hilo la Kagame kwa ushindi wa Bao 3-1.
Kipa wa Azam,Deogratius Munisi akiondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni kwake.
Mshambuliaji wa Azam,Kipre Tchetche akiwazungusha Mabeki wa Simba katika mchezo wao uliopigwa jioni hii Uwanja wa Taifa Jijini Dar.Azam imeshinda bao 3-1.
Simba leo hawachomoi ,Azam wana kila hali na uwezo wa kushinda .Azam vs yanga fainal,big up mdau big Joe
ReplyDeletePiga hao, Simba gani asounguruma?
ReplyDeleteHAHAHAAAAAAAAAAAA SIMBA MDEBWEDO
ReplyDeleteSimba hawana lolote acha waburuzwe
ReplyDeletehahahahahaniwakatiwamabadiliko
ReplyDeleteSimba walikuwa na mpango toka mwanzo wa kutoendelea na mashindano haya kwa sababu ya kupindishwa kanuni. Kwa jinsi walivyocheza ni wazi wamliamua kuishia hapa ila kwa namna ambayo CECAFA na TFF watapata message bila kuwa na namna ya kuwabana viongozi. Maamuzi haya ya viongozi hayakuwatendea haki Kocha, wachezaji wa wapenzi.
ReplyDeleteMnyama yanayojiri siku yake ya kuchinjwa.!!!
ReplyDeleteNi ile siku endapo wewe ni kiumbe 'mnyama' upo ndani ya zizi la Mfugaji wako huna hili wala lile ni asubuhi na mapema
1.Mfugaji anakuja zizini anaangaza macho anachagua mnyama mmoja wapo,,,
2.Mara ahhh unaona unakamatwa wenzio wanaachwa,,,
3.Ahhh unaona kisu kinachomolewa,,,
4.Ahhh dakika moja kisu kimeelekezwa kwenye koromeo lako....hayo ndio yaliyomkuta Simba SC.
Mwishowe AZZAM 3 SIMBA 1
Halafu naomba mnijuze, kama alivyofanya Azzam jana hivi ni kwa nini kila Mfugaji hupendelea kuchagua kuchinja mnyama (simba) aliyenona zaidi?
Je waliokonda hawana nyama?
Mjoma Michuzi naomba jibu tafadhali!
Ukiona manyoya usiulise!
ReplyDeletevijana wa simba laini kweli
ReplyDeleteAhhh nimeshuhudia Azzam anatafuna finyango ya mnyama, na mimi nimepata uchu,,,,ahhh mchuzi mtamu!
ReplyDelete