Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nilikuwa sijui kabisa kama yupo duniani au la nimefurahi kumsikia tena

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Mama Salma Moshi, kwa kweli unajielezea vizuri na kwa kujiamini kabisa. Pia una lafdhi nzuri, I wish ungekuwa Mtangazaji au Mwalimu, maana sauti na mtiririko wako wa kuongea vinavutia.

    Kila la kheri katika shughuli zako, khasa katika kuliendesha na kuliendeleza gurudumu hili la sanaa popote pale utakapokuwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...