Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama(Kulia) akipokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe Eraston Mbwilo katika mji wa Hedaru uliopo wilayani Same mkoani Kilimanjaro
 Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro kutoka kulia ni Mhe Novatus Makunga(Hai),Mhe Pallangyo(Rombo),Mhe Dkt Charles Mlingwa(Siha) na Herman Kapufi wa same
Mwenge eeh Mwenge Mbio mbio,mwenge tunaukimbiza mbio mbio......muda mfupi kabla ya makamanda wa mkoa wa Manyara hawajaukabidhi kwa wenzao wa mkoa wa Kilimanjaro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. KATIKA KITU KIMENICHEKESHA NI WAKUU WA WILAYA KILIMANJARO KUVAA VITENGE SIKU YA KUPOKEA MWENGE BADALA YA TRUCK SUIT YAANI HIKI KITUKO. MWL J.K.NYERERE ANGEKUWEPO VIBOKO WOTE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...