Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama(Kulia) akipokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe Eraston Mbwilo katika mji wa Hedaru uliopo wilayani Same mkoani Kilimanjaro
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro kutoka kulia ni Mhe Novatus Makunga(Hai),Mhe Pallangyo(Rombo),Mhe Dkt Charles Mlingwa(Siha) na Herman Kapufi wa same
Mwenge eeh Mwenge Mbio mbio,mwenge tunaukimbiza mbio mbio......muda mfupi kabla ya makamanda wa mkoa wa Manyara hawajaukabidhi kwa wenzao wa mkoa wa Kilimanjaro
KATIKA KITU KIMENICHEKESHA NI WAKUU WA WILAYA KILIMANJARO KUVAA VITENGE SIKU YA KUPOKEA MWENGE BADALA YA TRUCK SUIT YAANI HIKI KITUKO. MWL J.K.NYERERE ANGEKUWEPO VIBOKO WOTE
ReplyDelete