Bendi ya Muziki "Ngoma Africa band" yenye makao Ujerumani,Inatoa pole na rambi rambi kwa ndugu na jamaa wote waliopatwa msiba kutokana na jali ya meli ya MV. Skagit,iliyotokea jana 18-7-2012 jirani na Chumbi,Zanzibar.
Ngoma Africa Band inaungana na watanzania wote walio nyumbani na nje ,katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa kitaifa,msiba huu ni wetu sote. Katika maombelezo bendi inasimamisha shughuli zake kwa mda wa wiki moja.
Mungu ibaraki Tanzania
Mungu Ibariki Afrika


ffu nyinyi mpo na jamii kila wakati endeleani kuwa na moyo huo huo
ReplyDeleteFFU shukurani nyingi sana mbarikiwe kwa kuwa pamoja nasi katika wakati huu wa majonzi.
ReplyDeleteSaid A Ahmed
Kijiwe,ZNZ