
Bendi ya Muziki wa dansi "Ngoma Africa band" aka FFU yenye makao yake kule ujerumani inatoa salamu za heri "Saba Saba " kwa watanzania wote walio ndani na nje ya nchi,bendi hiyo inaipongeza uongozi wa nchi pamoja na watanzania kwa kuendeleza mila ya kuudumisha sherehe za "Saba Saba" ambazo pia zinawapa nafasi watanzania kuonyesha na kushiriki katika maonyesho ya biashara ya bidhaa zinazozalishwa viwandani, mashambani,na huduma ya jamii.
Mungu Ibariki Tanzania !
Mungu Ibariki Afrika !
Tufurahie Saba Saba kwa
kupata raha ya "Supu ya Mawe" na "Bongo Tambarare" kutoka kwa Kikosi kazi Ngoma Africa aka FFU Ughaibuni.
unaweza kusikiliza pia at www.ngoma-africa.com


FFU nyini ni bendi pekee mnayekumbuka nyumbani,kila wakati mmekua mstari wa mbele katika kuelimisha jamii kwa kupitia muziki wenu
ReplyDeletekamanda ras makunja na kikosi chako,tupo pamoja nanyi tunawakubali nyinyi ni watoto wa kitaa,lakini wakati mwingine mnakipaka kama hamna akili nzuri
ReplyDelete