Mkuu wa wilaya mpya ya Kalambo, Mhe.  Moshi Mussa Chang'a Rukwa akizungumza na wakazi wa kata ya Mambwenkoswe iliyopo mpakani mwa Tanzania na Zambia kuhusu katiba mpya.
Description: DC wa wilaya ya Kalambo Rukwa Moshi Mussa Chang'a akiwa na katiba ya Tanzania Bara na ya Zanzibar akiwafund wakz wa kata ya yaKatete.Kulia ni diwani wa kata hiyo Daudi Sichone na kushoto kwake ni Kaimu mkurugenzi wilaya ya sumbawanga.JPG
Mkuu wa wilaya mpya ya Kalambo Mkoani Rukwa, Mhe.  Moshi Mussa Chang'a, akiwa na katiba ya Tanzania Bara na ya Zanzibar akiwahimiza  wakazi wa kata ya ya Katete kuisoma na kujua kilichomo na kujiandaa kutoa maoni. Kulia ni diwani wa kata hiyo Daudi Sichone na kushoto kwake ni Kaimu mkurugenzi wilaya ya sumbawanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...