NAUZA NYUMBA YANGU IKO ARUSHA MJINI MAENEO YA KWA-MROMBO
BEI NI TZS 45,000,000.00 (MILLIONI AROBAINI NA TANO TU) AU USD 28,500.00
DALALI HATAKIWI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2012

    Nyumba nimeipenda ina paa nzuri!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2012

    Nyumba hii itakuwa ina mgogoro! Unataka kutuuzia kesi. Hakuna Nyumba ya Bei hiyo labda choo cha Nje!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2012

    Tatizo sioni barabara kama kawaida nyumba za Archuga!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2012

    Sasa wewe kwa Mrombo ni wapi? Ukipewa $ 20,000 Cash utachukua? Hakuna maswali wala nini....!! Hebu toa ramani vizuri. Toa na maelezo kwa Mrombo ni wapi? Ni umbali gani toka barabara ya Nairobi au Njiro au Sanawari au Majengo? Usitoe maelezo nusu nusu hutauza.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2012

    Nyumba hii haina kesi wala tatizo lolote, nahitaji pesa haraka kufanya mambo mengine. Mimi ninayeuza ni mwanasheria, nafikiri kabla ya kuongea fanya research kwanza, kaulize majirani, mimi ni mfanyakazi na nina mwajiri pamoja na biashara zangu hivo nina physical adress. Kuhusu bei nimeangalia gharama nilizotumia na mahitaji ya haraka ya pesa hii. Kama ningeuza kwa tamaa nyumba hii nilipaswa kuuza millioni kama 70 hivi, maana wabongo ukiwalalia ndo wanona dili ni halali.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2012

    Jamani nyumba ni nzuri lakini bei ni ndogo kiasi kwamba inanitia wasi wasi. Imemalizika hii mtu anaweza kuishi bila wasi wasi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 05, 2012

    Gusa unase!

    Ile puu umetoa 45 Milioni unashuhudia kundi la Wamasai na mapanga mikononi wanakwambia kesi bado ipo Mahakamani!

    Aliyekuuzia ni nani na yupo wapi?

    ReplyDelete
  8. Kwa Mrombo si mbali sana maana ukifika Conder ya Mbauda unafuata njia ya Mbauda ielekeayo Oljoro JKT unapita Field Force unafika Kwa Mrombo kuna nyama choma ya kufa mtu kila aina ipo hapo sinia Shs. 5,000/= unakula hadi meno yanauma.Kwa ujumla jamaa ameijenga nyumba vizuri ya kisasa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 05, 2012

    Sawa Mdau Mjengo umetulia sana!

    Lakini hakuna mgogoro hapo?

    Hiyo ni Kanda ya Kaskazini, usije mtu ukanunua ile unatoa Mil. 45 siku ya pili kundi la Wamasai na Sime mkononi na Mapanga wanakuuliza ni nani kakuuzia nyumba yetu?, yupo wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...