Theme;
 “Islam & Poverty Alleviation Strategies”.
Date; 15th July 2012
Venue;  Karimjee Hall - Dar es Salaam
Time; 9am – 4:30pm
Contribution; Tsh. 20,000 (Inclusive of FREE DVD, Books & Lunch)
-For Invitation Cards Delivery-
                 moedeek@yahoo.co.uk
 "Plan Not to Miss"  
INSHALLAH

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2012

    Alhamdulillah, walau sasa waislam tunaanza kujiangalia Mambo Allah aliyotufundisha kupambana na Mazingira yetu. Inshaallah Tutafika.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2012

    Safi Sana. Naona sasa waislamu tunaanza kutumia wasomi wetu kujadili mambo yetu. Nimependa mchanganyiko wa Prof na Masheikh. Huyu jamaa ni kichwa ila wengi wetu tunashindwa kumtumia...!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2012

    Mashallah,

    Kazi nyingine kubwa ni kurefresh Banking systems nchini ziwe in or near 'zero' interest rate.

    1.Tunaposema 'zero' or near zero interest rate Banking sio kwamba NI KANUNI KUWA BANK HAIWEZI KUENDESHA KWA FAIDA BILA INTEREST LA HASHA.

    2.Tunaposema 'zero' or near zero interest rate Banking sio kwamba TUMEWASILIMISHA WASIO WAISLAMU KUINGIA KTK UISLAMU LA HASHA.

    HII HATA MASHIRIKISHO YA KIDUNIA KAMA UN, IMF NA WORLD BANK YANAELEWA FIKA KUWA 'RIBA' (INTEREST) INACHOCHEA KIWANGO CHA KUKUA KWA UMASIKINI DUNIANI.

    Nataka tufanye Experiment kidogo:

    Kwa wale waelewa wa masuala ya Uchumi ni kama ''the price of commodity is determined by demand and supply at the market''

    Je, ni nani na ni kigezo gani kinatumika kuweka say interest (riba) iwe 10% or certain % ?

    Je mazingira yanayopatikana ile tu rate of interest (%) si inaonekana kama ka wizi fulani hivi?

    Ni wakati muafaka wa kujadili hili!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2012

  5. AnonymousJuly 06, 2012

    Nashkuru kwa hili kwa kuwa mimi ni muslam LAKINI, kiswahili tafadhal!

    sesophy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...