Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar(Balozi Seif Ali Iddi) akimkabidhi tuzo Mkurugenzi Mkuu wa PPF(Bw. William Erio) baada ya kudhamini maonyesho ya 36 ya biashara katika viwanja vya sabasaba.Katika maonyesho hayo PPF imekuwa mshindi wa pili katika kundi la taasisi za fedha  (Financial sector)  21 zilizoshindana katika kundi hilo 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...