Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana na wa tatu toka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond Mushi. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Afrika.







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...