Watanzania wenzangu kama tunavyofahamu mwaka 2012 ni mwaka ambao nchi yetu inafanya zoezi maalumu la sensa ya taifa. Sensa hii inafanyika kila baada ya miaka kumi, sensa ni zoezi maalumu linalofanya na serikali ili kuesabu watu na makazi, na lengo lake ni takwimu sahii zitazopatikana katika zeozi hili zitumike katika taratibu maalumu za mikakati ya serikali kupanga utaratibu wa maendeleo kwa wananchi wa nchi yake.
Mfano, mimi ni miongoni mwa watanzania waliobahatika kuhusika katika sensa ya marakani iliyofanyika miaka michache iliyopita chini ya idara ya takwimu, wizara ya kazi na ilikuwa elimu ya mafunzo kama mwanafunzi
(internship). Kwahiyo si vibaya kutumia muda huu ili kueleza kile kidogo nilichoweza kujifunza katika zoezi hili watanzania wenzengu waweze kufaidika na umuhimu wa zoezi hili.
Asanteni
Katibu wa Tawi CCM Washington DC
Yacob Kinyemi



Ni idea nzuri ya watu kuhesabiwa ispokua ktk maswala ambayo yamejitokeza kua muhimu ktk nchi ya Tanzania ni pamoja na swali kwamba je dini ya muhusika itajwe kama moja ya vipengele vya sensa?. Umetoa mifano ya nchi nyingi ambazo zimefanya zoezi hilo, je kipengele cha dini kilikuwepo?
ReplyDeleteKiongozi mpya: "Sasa mheshimiwa, naomba unipatie logo za chama."
ReplyDeleteMheshimiwa %$#: "Logo unabuni tu yoyote ili mradi iwe na jina la chama, sawa bwana?"
Kiongozi mpya: "Hatuna standards mheshimiwa?"
Mheshimiwa %$#: "Standard ndio nini? Na nyie makinda mbona mna vimethali sana nyie! Sisi ndio tumewasomesha, leo hiii mnajifanya mna akili kutuzidi?? Akh!"
Nina kubaliana na Anonymous kwamba mengi mimi pia nime jifunza kutoka waTanzania nyumbani siyo wanoishi nje. Matatizo siyo standards ni kipengele cha dini na uaminifu wa serikali. Siyo ukweli ukisomeshwa ina tegmea vipi una tumia elimu yako. Mbona watu wengi nyumbani wamesomeshwa na wana shindwa kuongoza au kwa sadia wananchi!
ReplyDelete