RAISI wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DKT. Ali Mohammed Shen kwa uwezo alio pewa chini ya kifungu 9 (1) ((a) cha sheria ya mafunzo ya Amali Zanzíbar namba 8 ya mwaka 2006 amemteuwa DKT. Mohammed Hafidh khalifan kuwa mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzíbar .

Kwamujibu wa barua ya tarehe 2 /7/2012 ilio tiwa saini na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu mkuu kiongozi Zanzibar DKT Abdull Hamid Yahaya Mzee uteuzi huo umeaza tangu tarehe 30/6/2012 mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2012

    wazo...ingetakiwa iwekwe picha ya huyo aliyochaguliwa badala ya rais wa zanzibar( anafahamika) ambaye amechagua.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2012

    Mdau wa kwanza nakuunga mkono... umenitoa tonge mdomoni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...