Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimuapisha Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar Leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimuapisha Sheikh Daudi Khamis Salim kuwa Kadhi wa Rufaa Pemba ,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar Leo 
 Rashid Seif Suleiman,Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano,(kulia) akibadilishana mawazo na  Sheikh Daudi Khamis Salim   Kadhi wa Rufaa Pemba,kabla ya kula kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar Na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif Suleiman,baada ya kula kiapo.
Picha zote na Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Che GuevaraJuly 25, 2012

    Hivi hakuna vijana wasomi hadi anateua watu ambao wanatakiwa wawe wamestaafu tayari?

    Mbaya sana hii kwa kweli!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2012

    Issamichuzi utangazie Kama zanzibar hatutaki tena muungano . muungano uvujwe hatutaki chochote l'île tunachotaka muungano ujujwe wazanzibar wote hatuuutaki tenaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2012

    The guy looks old. Ataweza michakato ya kuzuia ajali za meli kweli?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2012

    Kujiuzulu siyo kila kitu na kama ana makosa ya kiutendaji lazima apelekwe mahakamani tu, ila nanyi wazenj mnajidai mnaweza kusimama kwa miguu yenu wakati ni wazi kuwa umoja ni nguvu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...