Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimuapisha Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar Leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimuapisha Sheikh Daudi Khamis Salim kuwa Kadhi wa Rufaa Pemba ,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar Leo
Rashid Seif Suleiman,Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano,(kulia) akibadilishana mawazo na Sheikh Daudi Khamis Salim Kadhi wa Rufaa Pemba,kabla ya kula kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar Na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Rashid Seif Suleiman,baada ya kula kiapo.
Picha zote na Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar
Hivi hakuna vijana wasomi hadi anateua watu ambao wanatakiwa wawe wamestaafu tayari?
ReplyDeleteMbaya sana hii kwa kweli!
Issamichuzi utangazie Kama zanzibar hatutaki tena muungano . muungano uvujwe hatutaki chochote l'île tunachotaka muungano ujujwe wazanzibar wote hatuuutaki tenaaaaaaa
ReplyDeleteThe guy looks old. Ataweza michakato ya kuzuia ajali za meli kweli?
ReplyDeleteKujiuzulu siyo kila kitu na kama ana makosa ya kiutendaji lazima apelekwe mahakamani tu, ila nanyi wazenj mnajidai mnaweza kusimama kwa miguu yenu wakati ni wazi kuwa umoja ni nguvu.
ReplyDelete