Siku ya Jumamosi tarehe 30.6.12 ilikuwa ni Bridal shower ya Bi harusi mtarajiwa Regina Rayah iliyofanyika mjini Reading UK katika Ukumbi wa Irish Club. Sherehe hii ilifana sana MC wa shughuli hii alikuwa Marium Nice.
Harusi itafanyika tarehe 7 July 2012 katika kanisa la St Peter's Church, anuani ni Church Road, Caversham, Reading RG4 7AD kuanzia saa kumi jioni na baada ya harusi sherehe itaanza rasmi saa kumi na mbili na nusu jioni katika Hotel ya Hilton Drake way, Reading RG2 0GQ.
Kwa maelzo zaidi wasiliana na simu 07404151936
Asanteni
Picha kutoka Urban Pulse Creative.
No comments
ReplyDeletepoa safi sana hii nakutakiyeni kila la kheri ndo mambo yanavyotakiwa haya kuoa au kuolewa na wazungu zungu zungu.
ReplyDeletemakaratasi hayo inabidi muolewe hata na matahira
ReplyDeletehongera bi dada. Ila sijui ni macho yangu ama la, watz wanaoishi ulaya huwa nawaona wamekomaa na kukauka ukilinganisha na sisi tunaoishi bongo, sijui ni kazi nyingi ama la!! ni mtazamo wangu jamani....
ReplyDeletemama tafuta makaratasi mama poa sana nafurahi nikiona watu wanatafuta makaratasi kwa njia yeyote.
ReplyDeleteWatu wengine wivu badala ya kumpa hongera dada yetu mnakuwa na negative comments wivu huo. Ingekuwa Ulaya kubaya angalia kisa kilichowaua Wa-Ethiopia wiki iliyopita. Ukiwa na pesa Bongo maisha raha sana lakini 80% ya watanzania ni walala hoi na wengi chai ya asubuhi hamna labda wale kiporo cha jana.Ili kujiokoa na umaskini huu elimu ya msingi ife badala yake watu wasome mpaka secondary as a basic education for all. Itatoa ujinga na umaskini utaanza kupungua kwa sababu watu watakuwa na elimu wataweza kukopa pesa na ku-manage pesa hizo kufungua miradi kama biashara, kilimo n.k
ReplyDeleteDada hongera kwa kupata mabox maana hili limezidi makaratasi
ReplyDeleteHongereni maharusi....
ReplyDeleteIla mbona kama shughuli imekaa kikiwa?
teh teh jamani tutafanyaje? tunakauka miili maana hatuna muda wa kulala ni kushinda na kukesha kazini. Makaratasi yanatufanya tujiingize katika kila liwalo ilimradi tubaki huku maana bongo nako ni tabu kweli kweli.
ReplyDeleteJamani sidhani kama ni wivu wewe hujui yanayojiri ulaya wanachosema ni ukweli wadada wengi wanaolewa na matahira ilimradi wapate makaratasi tu mbaya zaidi ni pale anapodhani tahira/ babu atakata mapema hawafiiiii unazeeka nalo teh teh
ReplyDeleteKalabagaho huyu dada ana makaratasi yake na hii ni just love so pelekeni uongo wenu huko. Kazi kuongea msiyo yajua. Hongera Raya
ReplyDelete