Mwanafunzi wa CBE Deric Laurence, akipokea zawadi yake ya kinywaji Cha Castle kutoka kwa meneja wa kinywaji hicho Kabula Nshimo, baada ya kuibuka mshindi wakujibu maswali ya Kombe la Euro kupitia mtandao wa kijamii Facebook.
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro ambaye ni mshindi wa Shindano la maswali yanayoendeshwa na knywaji chaCastle kupitia mtanda wa kijamii Facebook Yona H. Mbena, akipokea zawadi yake ya katoni moja ya kinywaji hicho kutoka kwa Meneja wa kinywaji hicho Kabula Nshimo, baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano hilo la kujibu maswali ya Mpira ya Michuano ya Euro iliyomalizika usiku huu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...