Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe aliopewa na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi leo July 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalum toka kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi uliowasilishwa na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi, Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mjumbe Maalum Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi aliyemletea ujumbe toka kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi leo. Kushoto ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania Mhe Issa Mtambulka na kulia ni Afisa mwandamizi wa Serikali ya nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais na Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Pathfinder International alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.PICHA NA IKULU.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2012

    TUMETHUBUTU TUMEWEZA NA TUTAENDELEA KUSONGA MBELE! Songa mbele Rais Kikwete! Hakuna mtu mjinga Balozi Alfonso Lenhardt ana fahamu kama wata wanafahamu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...