Good Day Fellow Preffessionals,
For those of you who may have a need for freight services from the United Kingdom please be advised that our company offers a comprehensive Freight Forwarding Services from a Pin to a Ship from anywhere in the UK to Tanzania, Small Packages, Big packages, Vehicles, Tractors, Trucks etc.

There is a weekly door2door services to Dar-Es-Salaam, Mwanza , Arusha and Zanzibar where goods are shipped weekly from our office in the Uk to our offices in DAR-MWANZA-ARUSHA and Zanzibar within seven days to Dar and Zanzibar and two weeks for Mwanza and zanzibar.

For more information click the link , visit our website www.swiftfreightsuk.com or contact us 
Tel:           0208-801-9800 begin_of_the_skype_highlighting            0208-801-9800      end_of_the_skype_highlighting begin_of_the_skype_highlighting            0208-801-9800 begin_of_the_skype_highlighting            0208-801-9800      end_of_the_skype_highlighting      end_of_the_skype_highlighting      
Mobile -07852260024 
E-mail: info@swiftfreightsuk.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2012

    UNAPOZZ NA GARI LA MTEJA . KIOFISI KIDOGO NA KICHAFU, HEBU FIKA SERENGETI UONE WENZAKO WALIVYOPIGA HATUA

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2012

    You tell me BOSS how many Zanzibar(s) are there? I would guess!! The one near to Dar and there is another one that has just come to my attention near to Mwanza.

    Kazi njema Boss.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2012

    JAMANI WA TANZANIA LINI LINI NYIE MSIO JUA BIASHARA MTAJIFUNZA KUTOFANYA ZA KIUSWAHILI,

    WEBSITE TANGU 2006 HAIJAA UPDATED NADHANI MAANI INA @2006.

    LONDON NI KUBWA WEKENI ENEO ILIPO,

    PIA RAMANI YENU KWENYE VIDEO ILIHIGHLIGHT KUWA MNAOFISI HADI BELFAST NA WALES PIA.

    JE MNAYO BELFAST?

    ReplyDelete
  4. Watanzania lini tutaendelea?mwenzetu amejitahidi kujikwamua kwa ka jiofisi kake badala ya kumpa sapoti tunamponda, kweli tutafika? mbona hatuigi mfano wa wenzetu wa kenya? tutaishia kuwazidishia wakenya wakianzisha sehemu zao za biashara,sisi tutaishia wivu tu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2012

    Nahisi si swiss fright bali ni swift freight

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 11, 2012

    Mdau unayesema afike serengeti,nadhani umeishiwa mawazo. Afadhali kuwa na kajiofisi kadogo unakokaendesha kihalali kuliko kuwa na store ambapo watu wakipeleka mizigo yao inachomolewa kwanza; na wanaojiita madairekta kuwaibia wateja wao.Kisa; wanataka utajiri wa haraka waonekane wanaendesha 'range'. Tujifunze kufanya kazi za kihalali;tule jasho linalotuhusu, na sio kukimbilia maisha ya kifahari kwa kuwaibia watu mizigo yao wanayowapelekea kusafirisha. Swift Freight nawasifu kwa huduma zenu,mnajitahidi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 11, 2012

    short and thorough presentation. hawa wanaozungumzia office sijui not richabo, hao wenye office kubwa ndo mbona hawaeleweki.

    halafu kaka ametulia, na kiinglish kizuri

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 11, 2012

    Hawa Swift freights kweli wanajitahidi kwa wana collections centres nchi nzima Cardif,Birmingham,Southampton hata Belfast,London,Leeds na sehemu nyingine unapiga simu unafanya booking unapeleka mzigo wako kwenye colection centre au unafuatwa nyumbani kwako.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 11, 2012

    Mashalllah andelea hata sisi Tottenham tuko nawe good service, -awwg

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 11, 2012

    ww unaedai serengeti wameendelea, ndio nyinyi mnaooa/kuolewa kwa kuangalia sura badala tabia. Kazi wabovu, simu hawapokei e-mail hawajibu. Watanzania msidanganyike na viti, meza na mapanbo ya ofisi. SERENGETI WAMECHEMKA NA MABINGWA WA KUIBA VITU VYA WATU!!!,Ukiwauliza bwana weee, hayo matusi utakayo toka nayo.... ila all in all DONT TRY TO DO BUSINESS WITH SERENGETI!!!! Watanzania ukweli tuelezane!!!! Haya ngoja tuwajaribu na hao SWIFT,

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 11, 2012

    Honger sana unatia moyo vijana wa kitanzania kuwa na mawazo chanya ya kujitafutia riziki kihalali.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 12, 2012

    Ukitaka kuweka mikono kichwani; peleka mizigo yako serengeti.Utapelekewa nusu bongo,nusu utaambiwa hukuwakabidhi.Ama kweli wabongo hatubadiliki. Watawaibia watu hadi lini? Na hiyo ofisi ikiwa kubwa unadhani nani ataenda kuwapelekea mizigo kama wanawaibia watu?
    Big Up Swift, endeleeni kutoa huduma zinazowajali wateja.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 12, 2012

    Tabia haina dawa!

    Ndio maana vitu kama:

    -ulafi
    -uroho na uchoyo
    -uvivu
    -umalaya,
    -udokozi na mkono wa wizi,
    -uvitaji
    -ukikojozi kwa watoto
    -umbea
    -usengenyaji na majungu

    Ni mienendo ya tabia ambayo isipopatiwa tiba huweza kumharibu mtu Kisaikolojia ukubwani au hata kama atahamia sehemu na kuishi na jamii zingine!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...