Wanasheria kutoka Ofisi ya makamu wa Rais, Bw. Nehemia Mandia (kushoto) Bw. Isakwisa Lameck Mwankonda (kulia) na Afisa habari Bi Evelyn Mkokoi katika Picha ya Pamoja wakijiandaa kuingia katika Mkutano wa kanda wa SADC unaohusu utekelezaji wa mikataba ya kimataifa ya Bayonuwai pamoja na Baiteknolojia jijini Johanesberg Africa ya Kusini.
Home
Unlabelled
Tanzania yashiriki mkutano SADC South Africa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwa mwendo huu utoke serikalini unafuta nini kwingine make mshahara hata ukiwa elf 60 tu huzigusi we ni trip tu mara UK,SOUTH,KENYA NDANI YA MWAKA MNA MAGHOROFA HEKOOO SERIKALI KWA KUTUPATIA CHANCE YA KUHUDHURIA SEMINAR NCHI MBALIMBALI
ReplyDelete