Mshambuliaji wa Timu ya Mafunzo kutoka Zanzibar,Jaku Juka Jaku (katikati) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Tusker kutoka Kenya,Joseph Shikokoti (kushoto) wakati wa mechi yao ya Mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame,uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mwisho wa mchezo hakuna timu iliyoweza kuona lango la mwenzake na kufanya matokeo kuwa 0-0.
 Mshambuliaji wa timu ya Tusker kutoka Kenya,Dennis Makaisi (kulia) akiwania mpira na Beki wa Timu ya Mafunzo kutoka Zanzibar wakati wa mechi yao ya Mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame,uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mwisho wa mchezo hakuna timu iliyoweza kuona lango la mwenzake na kufanya matokeo kuwa 0-0.
 Jerry Santos wa Tusker ya Kenya akiwania mpira na Beki wa Mafunzo ya Zanzibar.
Heka hela langoni mwa timu ya Mafunzo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...