Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongereni sana WANA NJEJE kwa kudumu for almost FOUR DECADES, halafu mnaonekana wastaarabu, mnajiheshimu na pia mmmetinga shule. Mahojiano yenu yametulia sema tu huyo muhoji bado anahitaji kupepewa.

    Salama heshi vituko, busu gani hilo kama la jini..lol Hana cha kujali kama mtu ana mkewe na familia wala nini, mara unakujaviziwa vichochoroni utiwe adabu, shauri yako!

    ReplyDelete
  2. Kweli mtangazaji mcharuko. Mahojiano yalikwua mazuri sana lakini uchangamfu upungue.

    ReplyDelete
  3. Nimefulai sana
    Umewaita watu wazima Kama hao next mwalike mzee bitchuka na ngulumo au Hata mzee majuto sio kila siku hunateletea mabrother man wa yoyoyoyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...