Kwaniaba ya Chama Cha Mapinduzi, Mwenyekiti na Uongozi wa CCM Tawi la DMV tunawatakia waislam wote duniani Ramadhani njema.
Pia Tunawakaribisha watu wote katika futari ya pamoja
Kama ilivyo desturi tunaungana nao katika mwezi huu wa Ramadhani.
Watanzania wote mnakaribiswa katika futari hiyo ya pamoja.
SIKU: IJUMAA: AUGUST 3, 2012
WAKATI: 7.30 P.M.
ADDRESS: 10615 New Hampshire Avenue
Silver spring, MD 20903
RAMADHANI KAREEM
UONGOZI WA TAWI
Tusilete udini kwenye vyama vya kisiasa
ReplyDeleteMwanyekiti DMV naona unafuturisha kwa kodi kwa kodi za wananchi wanyonge tanzania.
ReplyDeleteMdau DMV.
mbona mnataka kuleta siasa kwenye dini.....?
ReplyDelete