Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka udongo kwenye kaburi la shemeji yake, Mzee Sadik Ismail Katila wakati wa mazishi yaliyofanyika mjini Mpanda jana.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mzee Sadik Ismail Katila, shemiji yake Waziri Mkuu Mizengo Pinda, katika mazishi yaliyofanyika MjiniMpanda jana.
"INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN" Ama kwa hakika yake MWENYEEZ MUNGU na kwa hakika yetu sisi waja wake, basi kwake TUTAREJEA. MOLA amghufirie kwa yote na ampumzishe katika FIRDAUS yake - AMEN.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa, YARABI awape subira, stahmala na faraja, khususan katika kipindi hiki cha kuondokewa.
Hivi huyu waziri wetu ana kauisilamu?kweli waisilamu na wakristo ni ndugu wa damu!!!
ReplyDeletemnaons jinsi watanzania tulivyo hatugawikii waislamu kwa wakiristo, tumechanganya damu kila pembe
ReplyDelete