Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka udongo kwenye kaburi la shemeji yake, Mzee Sadik Ismail Katila wakati wa mazishi yaliyofanyika mjini Mpanda jana.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mzee Sadik Ismail Katila, shemiji yake Waziri Mkuu Mizengo Pinda, katika mazishi yaliyofanyika MjiniMpanda jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. "INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN" Ama kwa hakika yake MWENYEEZ MUNGU na kwa hakika yetu sisi waja wake, basi kwake TUTAREJEA. MOLA amghufirie kwa yote na ampumzishe katika FIRDAUS yake - AMEN.

    Poleni sana wafiwa, YARABI awape subira, stahmala na faraja, khususan katika kipindi hiki cha kuondokewa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2012

    Hivi huyu waziri wetu ana kauisilamu?kweli waisilamu na wakristo ni ndugu wa damu!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2012

    mnaons jinsi watanzania tulivyo hatugawikii waislamu kwa wakiristo, tumechanganya damu kila pembe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...