Sasa sijui hawa jamaa ndio kusema sheria iko mifukoni mwao??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2012

    Tehteh labda ubavu ule kule hakuna Alama hiyo tehteh ndomana yanatizamia huku sio kule. Elimu ya picha pia inakuwa ngumu duh!!!. MZ

    ReplyDelete
  2. Kwaninavyoona mimi hawa jamaa hawana kosa,kwani sheria za usalama barabarani si ukomo wake,nilipokuwa shule ya udereva nilifundishwa kuwa ukikiona kibao mbele yako mpaka pale kilipo upo ndani ya amri au katakazo hilo na ukikipa mgongo kibao uhusiki na amri/oyo/katazo au taarifa hiyo,sasa angalia picha vizuri.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2012

    'Bongo tambarale'

    Ukisikia hayo maneno hapo juu ndio ktk mazingira ya jamaa hao kwenye picha.

    Unakuta bao limeandikwa 'Usijisaidie hapa' muda huo huo unamwona mtu (mwenye akili zake timamu sio taahira) anapandisha shati lake juu ktk suruali yake anashika zipu !

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 11, 2012

    WEWE ULIYE TUMA HII PICHA KWA MICHUZI NDIYO YALE YALEEE MBUMBUMBU KABISA HAKUNA KOSA HIYO SIGN NI KUANZIA HICHO KIBAO KURUDI NYUMA LAKINI KWA KUWA ANAYE KIONA NI SISI NA ROLI HALIJA KIVUKA BASI HAKUNA SHIDA NENDA KAJIFUNZE SHERIA ZA BALABALANI, NDIYO KWANZA UMETUMIWA CAMERA NINI?
    AFANDE SERE

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2012

    jamani hiyo alama inazuia kupaki upande wa huku na sio kule alipoaki. kwani huyo dereva angeionaje au ashuke aangalie.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2012

    Nyie pigeni kelele tu sie tumeshapata pesa yetu ya kuweka hivyo vibao vya alama shida hamna. Mnajua hayo magari yanayopaki hapo ni ya kina nani! Jaribu muone.....

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 12, 2012

    OFF-TOPIC Majembe Auction Mart kukamata magari barabarani imeruhusiwa Kisheria??Sina taarifa mwenzenu

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2012

    Hv ni kweli Watanzania tu wageni wa alama barabarani?icho kibao huwa kinazuia pande zote mbili.yani huwa kinachorwa pande mbili.HAPO NI UKAIDI WA DEREVA TU.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 12, 2012

    Kweli aliyetuma akili mbovu, hiko Kibao kwaajili ya malori yanayotokea ubavu wetu kwenda kule hayatakiwi sababu ni yale ma lori yanayotokea ubavu ule yakija huku yasipate tabu ubavu ule pakuingilia hakuna bango na wala hilo bango ubavu ule hakuna Alama, pia mdau mwenzangu sio BALABALANI! Ni Barabarani hata mwanao atakushinda.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 12, 2012

    Wapo sawa. Kutoka kilipo kibao cha no parking kurudi nyuma ndio haparuhusiwi kupaki gari. ila nyuma ya kibao hiki ni sawa kupaki kwani ukitokea upande wa pili huoni maandishi yoyote.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 12, 2012

    Usiewke sheria ambayo inakataza kitu na huweki ufumbuzi wake. Ukikataza gari lisisimame hapo basi weka kielelezo wapi liende kusimama.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 12, 2012

    enyi nyinyi mnaosema kibao ni cha sehmu hii na sehemu ile lakini mna macho? hebu tizameni ukubwa wa barabara yenyewe kwanza halafu ndio mseme kuwa kibao hichi ni cha upande mmoja tu

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 12, 2012

    Hilo lori liko Kongo au Ufaransa maana hata hiyo sait liliko! Hata hivyo tuendelee kubwabwaja ila najua Wabongo ni jamii kaidi mno, kufuata sheria na taratibu ni kero Bongo.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 12, 2012

    Hao jamaa wako sawa ndio maana hawakamatwi,mbona rahisi mabishano ni ya nini sasa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...