Mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi akiruka daruga la golikipa wa JKT Ruvu, Shabban Dihile wakati wa mchezo wa kirafiki kwa timu hizo, uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 2-0.
Beki wa JKT Ruvu, Damasi Makwaya akimtoka kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo Yanga imeshinda 2-0.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...