Zanzibar members of parliament from both the ruling party and the opposition together with other opposition legislators walked out of the house this evening after the Speaker turned down a request  to adjourn the House following the passenger boat disaster in Zanzibar earlier on the day

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2012

    Wawakilishi Zanzibar,

    Mnakumbuka shuka wakati jua linaanza kuchomoza?

    Mnatoka nje ya Ukumbi wa Bunge kwa jazba, kwa nini Sea Transporters Regulators wa Zenji wanasajili Meli bila kufuata vigezo na taratibu mnawaachia halafu leo mnatoka Bungeni baada ya maafa?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2012

    Mnatoka Bungeni, je wale Watendaji wa Kule Zanzibari walioisajili Meli kiholela na watu wa Hali ya hewa waliotakiwa kutoa angalizo na kuzuia safari ya Meli mmewawajibisha vipi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2012

    Sasa Bunge likiairishwa nyie ndio mtakwenda kupiga mbizi kuwaokoa waathirika?? acheni uvivu nyie tunawalipa pesa nyingi kujadili maswala muhimu kwa taifa, msiba ushatokea nyie hamtabadilisha kitu kwa kutoka nje. Kaeni muendelee na kazi, mnataka mtoke mkakae kwenye vijiwe mpige domo na majungu!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2012

    mimi ni mzanzibar na kubaliana na nyie badala hawa wabunge wazanzibar kuhakikisha maafa kama haya hayatokei tena kwa kuwachukulia hatua hawa wenye meli mbovu, wanatoka kwenye bunge lakini wanafanya hivi ili waonekane kama wanajali watu wakati wao wenyewe wanamakosa kama hao wenye meli mbovu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2012

    Kuwajisha watu baadae, na meli ilondoka Dar kwahiyo watu wa hali yahewa ni bandari ya Dar sio Zanzibar.

    Ila serekali zetu zote mbili zimekuwa hazijali thamani ya roho za watukwani ajali kama hizi zinatokea kila mara baharini na nchikavu ktk mabarabara na hawachukui hatua mazubuti,KIUFUPIHATUJIFUNZI KABISA KUPITIA MATUKIO YANAYO TOKEA.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 19, 2012

    Watu wengine Aibu kweli..Hawana hata hofu ya mungu na majonzi ya wafiwa. Poleni sana wafiwa wote mungu awape faraja. Mheshimiwa spika Una dini kweli weye?? daaa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 19, 2012

    Ni jukumu lao kuomba kutoka kwasababu wao wako kwa ajili ya wananchi hayo mambo mengine yote yanayopitishwa hapo bungeni ni kwa ajili wananchi, kuendelea na bunge kama ajali kubwa kama hiyo imetokea si vizuri....kila sehemu na tabia yake unasema wazanzibar wavivu lakini usisahau kusema watanganyika ni wezi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 19, 2012

    Kwa mawazo ya wengi nadhani haitatokea kwa Tanganyika kutokea maafa ambayo yatalazimisha Bunge session(s) kuwa adjourned!!!! Mungu yupo upande wenu daima, hongereni sana kwa ushindi huu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...