Zanzibar members of parliament from both the ruling party and the opposition together with other opposition legislators walked out of the house this evening after the Speaker turned down a request to adjourn the House following the passenger boat disaster in Zanzibar earlier on the day
Home
Unlabelled
ZANZIBAR MEMBERS OF PARLIAMENT WALK OUT OF HOUSE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wawakilishi Zanzibar,
ReplyDeleteMnakumbuka shuka wakati jua linaanza kuchomoza?
Mnatoka nje ya Ukumbi wa Bunge kwa jazba, kwa nini Sea Transporters Regulators wa Zenji wanasajili Meli bila kufuata vigezo na taratibu mnawaachia halafu leo mnatoka Bungeni baada ya maafa?
Mnatoka Bungeni, je wale Watendaji wa Kule Zanzibari walioisajili Meli kiholela na watu wa Hali ya hewa waliotakiwa kutoa angalizo na kuzuia safari ya Meli mmewawajibisha vipi?
ReplyDeleteSasa Bunge likiairishwa nyie ndio mtakwenda kupiga mbizi kuwaokoa waathirika?? acheni uvivu nyie tunawalipa pesa nyingi kujadili maswala muhimu kwa taifa, msiba ushatokea nyie hamtabadilisha kitu kwa kutoka nje. Kaeni muendelee na kazi, mnataka mtoke mkakae kwenye vijiwe mpige domo na majungu!!!
ReplyDeletemimi ni mzanzibar na kubaliana na nyie badala hawa wabunge wazanzibar kuhakikisha maafa kama haya hayatokei tena kwa kuwachukulia hatua hawa wenye meli mbovu, wanatoka kwenye bunge lakini wanafanya hivi ili waonekane kama wanajali watu wakati wao wenyewe wanamakosa kama hao wenye meli mbovu
ReplyDeleteKuwajisha watu baadae, na meli ilondoka Dar kwahiyo watu wa hali yahewa ni bandari ya Dar sio Zanzibar.
ReplyDeleteIla serekali zetu zote mbili zimekuwa hazijali thamani ya roho za watukwani ajali kama hizi zinatokea kila mara baharini na nchikavu ktk mabarabara na hawachukui hatua mazubuti,KIUFUPIHATUJIFUNZI KABISA KUPITIA MATUKIO YANAYO TOKEA.
Watu wengine Aibu kweli..Hawana hata hofu ya mungu na majonzi ya wafiwa. Poleni sana wafiwa wote mungu awape faraja. Mheshimiwa spika Una dini kweli weye?? daaa
ReplyDeleteNi jukumu lao kuomba kutoka kwasababu wao wako kwa ajili ya wananchi hayo mambo mengine yote yanayopitishwa hapo bungeni ni kwa ajili wananchi, kuendelea na bunge kama ajali kubwa kama hiyo imetokea si vizuri....kila sehemu na tabia yake unasema wazanzibar wavivu lakini usisahau kusema watanganyika ni wezi
ReplyDeleteKwa mawazo ya wengi nadhani haitatokea kwa Tanganyika kutokea maafa ambayo yatalazimisha Bunge session(s) kuwa adjourned!!!! Mungu yupo upande wenu daima, hongereni sana kwa ushindi huu!!!
ReplyDelete