Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde,inaeleza kuwa Beki ya Posta tawi la Metropolitan lililopo kwenye kona ya Makutano ya Mtaa wa Indra ghand na Azikiwe street usoni kabisa kwa Salamu ya Bismin jijini Dar es Salaam,limenusurika kuwaka moto mchana huu.

Chanzo cha moto huo inasemekana ni kutokana shoti ya umeme iliyotokea katika moja ya swichi za umeme huo zilizopo ndani ya jengo hilo.

kwa mujibu wa mtoa taarifa hii,amesema kuwa hakuna madhara yoyote yaliyotokea kwenye benki hiyo kwani moto huo uliweza kudhibitiwa mapema kabla hata ya watu wa faya kufika.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...