Mwanamuziki Diamond Platinumz akikamua jukwaani wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF uliofanyika Mjini Dodoma leo.
 Mwanamuziki Diamond Platinumz na wachezaji wake wakifanya vitu vyao wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF Mjini Dodoma
 Kundi la wachekeshaji Orijino Komedy nalo lilikuwepo Mjini Dodoma kuchagiza uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF.

Picha ya pamoja kati ya Rais Kikwete, viongozi mbalimbali na wafanyakazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – TASAF wakati wa kuhitimisha sherehe za uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF Mjini Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mi nafikiri nyie kina comedy mngeachana sasa na hizo staili za kuvaa kidemu mnapokuwa nje ya luninga, sio poa kama mnavyofikiri. Ila cha muhimu zaidi mfanye utafiti wa haraharaka (random survey) kujua kipi mchele na kipi pumba ili mkae freshi kwenye gemu. Binafsi kama nawachoka vile, sijui wengine wanajisikiaje. Sina nia mbaya, nawapa tahadhari tu kuwa mhakikishe mnapakua kinacholika kwa raha na sio watu wale tu kwa vile wana njaa (nadhani mnanielewa).

    ReplyDelete
  2. DUH HUYU DIAMOND MPAKA RAMADHANI ANAPIGA MZIKI???? EEEH!!!

    ReplyDelete
  3. Ndio anapiga mziki kwani vipi? Mtu kazi yake hiyo ndio inamuweka mjini hapa. Wanakwambia usichezee kazi, chezea kazi uone jinsi ilivyo kazi kupata kazi. Uliza Mr. Nice.

    ReplyDelete
  4. Huyu Diamond mtoto wa kiislamu haoopi hata mwezi mtukufu wa Ramadhani..Raana tu lwaah

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...