Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Push Mobile Limited, Freddie Manento akizungumza na wanamuziki na wadau wake waliofika katika mkutano huo wa kujadili masuala mbali mbali ya biashara ya muziki nchini.
Msanii maarufu wa bongo fleva, Ferouz akifuatilia mkutano huo kwa makini. Mkutano huo ulijadili masuala mbali mbali ya kuboresha malipo ya wanamuziki hao ambapo Push Mobile Limited iliahidi kupigana kufa na kupona na wadau wake (kampuni za mitandao ya simu za mkononi) ili kuboresha malipo yao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...