Duka jipya kabisa na Mavazi ya aina zote lifahamikalo kwa jina la Splash sasa limefunguliwa Rasmi ndani ya Mlimani City jijini Dar es Salaam,na hivi ndivyo lionekanavyo baada ya ufunguzi huo rasmi uliofanyika mchana wa leo.
 Mkurugenzi wa Duka hilo la Splash,Malcolm Schultz (wa tatu kushoto) akiwa pamoja na staff wake wakati wa kuwakaribisha wateja wa kwanza waliofika Dukani hapo kujionea na kununua bidhaa mbali mbali.
 Sehemu ya keshia.
 Wateja wajipatia nguo za ukweli ndani ya Duka la Splash lililopo Mlimani City jijini Dar.
 Duka la Splash linavyoonekana kwa ndani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Aliyesema bongo hatuwezi nani ???? halafu tabia yenu ya kuwa mnatuma vijimitumba iliyopauka pauka kutoka huko, komeni kabisa, huku sasa hivi tunataka quality. watu wanatoka Paris kuja kufanya shopping Bongo !!!! kweli aliye juu ,mpandie huko huko. Mtarudi tu.Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  2. Awesome!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Zebedayo

    Alokwambia Malcom Schultz ni mtanzania nani? Usijidanganye!
    Wapo wabongo wanaojitahidi lakini huyu si mmbongo.

    ReplyDelete
  4. hata wakitoka wapi! Kwani hivyo vitu vimetoka wapi? Tanzania?

    Ngojeni mng'ae na huku vihela vyenu vya savings vinasafirishwa pole pole na vijito, mito hadi bahari kuu ya waliovitengeneza - wa Ulaya na kwingineko; sio Tz.

    ReplyDelete
  5. Quality?. Let me asked you are those cloth made in Tanzania? If is not we Tanzania we become consumers of foreign products and our economy will lose competitive advantages because we don't export.

    Kama hiyo Hitoshi nduguzangu, Kama ni designer clothes are they really one? Don't proud so much if you don't consume what you produce.

    Mimi napenda hili duka, lakini I am little concern if we don't promote our own cotton, our own clothes and own fashion.
    We will end up to benefit other countries

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...