Kwa mara nyingine tena Chama Cha Mapinduzi DMV kinaungana na ndugu na jamaa wa waislamu popote duniani kwa kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Chama Cha Mapinduzi, DMV inawatakia furaha tele katika sikukuu ya Eid na Tunapenda kuwapa mkono wa EID Mubarak -2012
Amani, upendo na Ushirikiano
EID MUBARAK
Imetolewa na ofisi ya Mwenyekiti-DMV
WASHINGTON DC



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...