ATHUMANI MBARUKU KANYAMA jr (pichani) ambaye ni mwanafunzi wa Mwaka wa 2 katika skuli ya maandalizi ya Ali Hassan Mwinyi iliyopo Mburahati Barafu Dar es Salaam ametimiza miaka 7 siku ya tarehe 17/8/2012.
Kwa sasa Mbaruku jr ameungana na familia yake hapa migombani Zanzibar kwa ajili ya kusheherekea Besdei yake sambamba na EID EL FITR. Ee m/mungu mpe mja wako huyu afya njema, elimu, hekma na umri mrefu uliokuwa na baraka zako inshallah.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...