MSIBA WA MELI YA MV SKAGIT
YAWAUNGANISHA WAZANZIBARI WAISHIO NJE!

Wazanzibari waishio nje na ambao jamaa zao walipoteza maisha yao na wengine kuathirika katika msiba wa kuzama boti ya MV Skagit, wameungana pamoja baada ya huu msiba na sasa wameanzisha blog inayoitwa ZANZIBAR NI KWETU.
Wazanzibari hao wanakusudia kulitumia hili blog ili kutoa maoni yao juu ya hali ya kila siku ya kisiasa na utamaduni ya huko Zanzibar. Wameona kuwa ipo haja ya kufanya hivyo kwa pamoja ili sauti yao ipate kusikika sio Visiwani tu bali hata Tanzania Bara.
Unaweza kuwatembelea na kuweka maoni yako kwenye address hii hapa:


Na Wagagagigikoko News Network


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Alhamdulillahi rabbi laalamin hili ni jambo jema sana mora mbari/awabarik walio kaa pamoja na kuanzisha hii blog inshallah iwe blog ya kheri na yenye kuleta tija amin. Ramadhan mubarak/kareem

    ReplyDelete
  2. Asante sana mdau kwa kutuanzishia blog yetu hii. Zanzibar ni nchi yetu. Lazima tuipiganie ili tujitoe kwa huyu mkoloni mweusi. Inshallah Mungu atatuwezesha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...