Kamanda wa Polisi mkoa wa (ACP), Liberatus Sabas akiwaonyesha waandishi wa habari silaha aina ya Rifle 458 iliyokuwa inatumiwa na jambazi ambaye alifariki dunia baada ya kupigwa risasi na askari wa Polisi walipokuwa wanarushiana risasi katika eneo la Ngaramtoni wilayani Arumeru tarehe 13/08/2012 (Picha na Rashid nchimbi wa Polisi Arusha)
Home
Unlabelled
Jambazi lenye silaha lauwawa na Polisi jijini Arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
I am not an expert on firearms, but this looks like a sawn-off Greener.
ReplyDeleteMwongo kamanda! yuko wapi mwisi menyewe?
ReplyDeleteWanapata wapi risasi?
ReplyDeletemwisi menyewe nakufa aisee..
ReplyDelete